Chris anajifunza kutoka kwa Yesu kwamba hata ingawa Yesu ni maarufu, alikuwa mnyenyekevu na aliwahudumia wanafunzi hao 12.